Swahili

Vigezo vya Misingi ya Pamoja vya Jimbo
MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA (FAQ)
Wazazi wa New York wanataka kujua zaidi kuhusu Common Core State Standards. Hapo chini utapata baadhi ya maswali
yanayoulizwa mara kwa mara na majibu kuhusu kanuni hizo.Itafanywa marekebisho baada ya muda. Tafadhali wasiliana na
mwalimu wa mtoto wako au mwalimu mkuu ili kujifunza zaidi kuhusu kazi za shule kwa
S: Common Core Standards vya Jimbo?
J: Common Core State Standards vinaonyesha nini wanafunzi wa Kabla ya chekechea hadi daraja la kumi na mbili wanapaswa kujua
na kuweza kufanya katika lugha ya Kiingereza na Hisabati. Viwango hivi vitawasaidia wanafunzi wote katika Jimbo zima kujifunza
stadi hizo hizo. Hii itahakikisha kwamba wako tayari kujiunga na chuo cha elinu na kufanya kazi. Viwango hizo ni pamoja na
mabadiliko au “misogeo,” katika jinsi walimu wanafundisha kwa kuwasaidia watoto kufanikiwa katika mada na ujuzi kuwa muhimu
zaidi. Viwango vimeundwa ili kuwasadia vijana wote kupata kujitayarisha kwa ajili ya chuo au kufanyakazi.
S: Kwa kuwa na Common Core Standards kunamaanisha kuwa kila mtu atajifunza kidogo?
J: Hapana. Common Core Sate Standards zimejengwa kutoka kwa baadhi ya viwango bora zilizokusanywa kutoka majimbo
nchini kote , kama vile kutoka mataifa mengine na utafiti wa kina juu ya kipi kinahitajika kufanikiwa katika ajira na elimu ya juu.
The Common Core Standards inauliza walimu na wanafunzi kuchimba zaidi katika ujuzi msingi na dhana kwa kila kiwango cha
daraja. Hii ina maana kwamba wanafunzi watajifunza zaidi kuhusu mada chache. Pia ina maana kwamba walimu watakuwa na
muda zaidi ili kufidia mada kwa undani zaidi. Hii huwapa wanafunzi fursa kufahamu kweli kuelewa kile wanachofundishwa.
S: Je, Viwango vinawaambia walimu jinsi ya kufundisha?
J: Hapana. Kuna zana za kuwasaidia walimu kuandaa masomo mazuri ya madarasa na shughuli. . Viwango
pia husaidia wanafunzi
na wazazi kwa kuwaonyesha nini inachukua ili kufanikiwa katika kila kiwango cha daraja. Wao ni ramani muhimu kwa walimu,
wanafunzi na wazazi.
S:Jinsi . Viwango vilitayarishwa
J: Majimbo arobaini na sita walileta pamoja wataalamu, walimu na watafiti ili kuandika Common Core State Standards pamoja na
kukaribia 10,000 maoni na mapendekezo,ikiwa ni pamoja na wengi wao kutokana walimu na wazazi wa New York. New York
ilizipitisha mwaka 2010. . Viwango vinaendana na madarasa yetu na vitawasaidia wanafunzi wetu kujifunza zaidi. Tembelea hapa:
http://corestandards.org/the-standards ili kusoma seti nzima za. Viwango .
S: Je hii inamaanisha mitihani zaidi?
J: Hapana. The Common Core Standards si maana kuwa na mitihani zaidi. Lakini kutakuwa na mitihani tofauti na bora kuanzia 2013
mwezi wa nne(Aprili), New York State Assesments itawapa mitihani ya umaarifa na ujuzi wa Common Core kwa wanafunzi wa
daraja la 3 hadi la 8 katika sanaa ya lugha ya Kiingereza na Hisabati. Hizi mitihani mapya kutafakari mabadiliko, au “misogeo”
katika. Viwango hizi. Mitihani itahakikisha kwamba wanafunzi wanafikia matarajio ya daraja-kiwango.
S: Mitihani haya yatakuwa magumu?
J: Mwanzoni, mitihani mipya yanaweza kuonekana ngumu zaidi. Hii ni kawaida. Mitihani mipya itakuwa kwa msingi “misogeo” katika
Viwango. Baada ya muda, wanafunzi na walimu watarekebisha katika matarajio wazi. Pia kuna uwezekano kwamba mwanafunzi katika
mitihani hii anaweza kushuka katika mwaka wa kwanza au wa pili wa mitihani mipya. Hata hivyo, mitihani ni chombo muhimu kwa ajili
ya kuboresha mafanikio ya mwanafunzi. Mitihani mipya itasaidia wakuu wa shule na walimu kutambua wanafunzi wale ambao
wanaweza kuhitaji msaada wa ziada ili mafanikio ili kuendelea katika daraja nyingine.
Swahili Version
S: Je, kazi hii ina maana gani kwa wanafunzi wenye ulemavu na wanafunzi wanoa soma lugha ya Kiingereza?
J:Viwango zitasaidia walimu kuwa na muda zaidi ili kufidia masomo kwa undani zaidi. Hii huwapa wanafunzi fursa ya kweli kuelewa kile
kinafundishwa. Kuna mwongozo wazi kwa ajili ya kutumia viwango kwa wanafunzi wanao soma lugha ya Kiingereza na wanafunzi wenye
ulemavu. Pia, majimbo yote itakuwa ikifanya kazi pamoja kwa daima kuboresha juu ya masuala haya. Hii itasababisha msaada imara wa
mfumo kwa wanafunzi wote.
S: Nini Common Core State Standards ina maana gani kwa wanafunzi nchini kote?
J: Viwango vimeweka matarajio ya wazi kwa mwanafunzi kujifunza nchini kote. Katika siku za nyuma, kila Jimbo ilikuwa imeweka viwango
vyake tofauti kitaaluma. Hii ilimaanisha kuwa wanafunzi wa Marekani walikuwa wakijifunza ujuzi tofauti na dhana kwa viwango tofauti.
The Common Core State Standards inawapa fursa sawa kwa wanafunzi wote wa New York kujifunza viwango sawa vya hali ya juu. Hii
inasababisha nafasi kubwa ya mafanikio katika chuo cha elimu, kazi na maisha.
S: Kama viwango vinapandishwa, kuna uwezekano zaidi kwamba wanafunzi wataacha shule?
J: Si uwezekano zaidi kuwa wanafunzi wataacha shule. Utafiti unasema kuwa mambo mengi huja pamoja ili kusababisha
mwanafunzi kuacha shule. Utafiti pia unaonyesha kuwa wanafunzi wanataka kuwa changamoto zaidi katika s hule. Kwa
mfano, vijana 7 katika ya 10 ambao wameacha shule walisema kuwa hawakupata motisha au kutiwa moyo wa kufanya
kazi kwa bidii katika shule ya sekondari. Theluthi mbili ya walioacha walisema kuwa wangefanyakazi ngumu zaidi
wangetakiwa zaidi (kama vile matarajio ya juu kitaaluma, kusoma zaidi na kazi za nyumbani zaidi). 1
S: Je, kupitishwa kwa Common Core Standards katika sanaa lugha ya Kiingereza na Hisabati kwenda
kuwekea kikomo mwanafunzi maeneo ya masomo mengine, kama vile sanaa au kazi na elimu ya ufundi?
J: Hapana. New York inaelewa umuhimu kwamba masomo yote katika kuadaa wanafunzi kwa ajili ya mafanikio zaidi ya
shule ya sekondari. Kuwafanya wanafunzi kufuzu vizuri ni muhimu kwa ajili ya hali ya baadaye ya Jimbo. The Common
Core Standards kuwa wazi kwa kweli itawasaidia walimu kuunganisha kujifunza katika maeneo ya somo. Hii ina maana
kwamba wanafunzi watapewa masomo ambayo huleta pamoja hisabati, sayansi, masomo ya kijamii, sanaa ya lugha ya
Kiingereza na masomo mengine.
S: Je Common Core State Standards inaadhibu wanafunzi katika mashule inayo fanya chini kwa
kujenga matarajio ya juu yasiyo ya kweli?
J: Hapana. Mara nyingi sana, leo hii wanafunzi katika mashule inayo fanya chini hushikiliwa kwa matarajio ya
chini. New York imepitisha Common Core State Standards ili wanafunzi wote wapate elimu bora.
Kamusi:
• Shift( badiliko) - mabadiliko katika jinsi walimu wanavyo fundisha na jinsi wanafunzi wanavyojifunza
• Nakala - kazi yoyote ya maandishi
• Zisizo uongo - Maandiko kuhusu matukio halisi ya maisha au ukweli
• Ushahidi – Vipande vya ushahidi kutoka kwa maaandishi
• Hoja –jinsi mwanafunzi humshawishi mtu kuhusu kitu fulani
• Hukumu – mwanafunzi kuwa ha hitimisho kuhusu alichosoma
• Fokasi - Kujifunza zaidi juu ya mada chache
• Kasi na Usahihi - Jinsi kwa haraka mwanafunzi anaweza kutatua matatizo ya hisabati kwa usahihi
Vyanzo:
1

Common Core State Standards:: http://www.corestandards.org/

Council of Great City School: http://www.cgcs.org

EngageNY: www.engageny.org

National PTA: http://pta.org
Mashirika ya Kiraia. The Silent Epidemic: Perspectives of High School Dropouts
http://www.saanys.org/uploads/content/TheSilentEpidemic-ExecSum.pdf
Swahili Version