Swahili

Common Core ya Wazazi
Pahali pa Kujifunza Zaidi na Kupata Zaidi
RASILIMALI ZA TAIFA
Miongozo ya Kitaifa ya PTA kwa Mafanikio ya Mwanafunzi
http://pta.org/parents/content.cfm?ItemNumber=2583
Tovuti hii ni pahali pa nyenzo, ikiwa ni pamoja na miongozo mifupi ili kueleza mabadliko
katika viwango vya Lugha ya Kiingereza (ELA) na Hesabati. Miongozo hii iko kwa kila
moja ya daraja la chekechea hadi la nane na shule za sekondari kwa kila somo.
Miongozo hii inapatikana katika Kiingereza na Kihispania na ni pamoja na
 Nini watoto wanapaswa kujifunza katika sanaa ya lugha ya Kiingereza na
hesababti katika kila daraaja kwa viwango vipya.
 Shughuli ambazo wazazi wanaweza kufanya nyumbani ili kusaidia masomo ya watoto wao.
 Mbinu za kuwasaidia wazazi kujenga mahusiano yenye nguvu na mwalimu wa mtoto wao.
 Vidokezo kwa ajili ya kupanga utayari wa chuo cha elimu na kazi.
Balaza kuu la mashule ya mji ya wazazi
Ramani ya barabara http://www.cgcs.org/Domain/36
Tovuti hupatia ramani ya kibinafsi kwa lugha ya Kiingereza na Kihispania kwa ELA na
Hesabati kwa kila moja ya daraja la chekechea hadi la nane. Ramani hizi zinasaidia
kuongoza wazazi kupitia kile ambacho watoto watajifunza na jinsi gani wanaweza kusaidia
masomo hayo Pia zinapatia muda kuonyesha vipi vilivyochaguliwa viwango vya mabadiliko
ya kutoka mwaka hadi mwaka ili wanafunzi wawe tayari kujiunga na chuo cha elimu na
kazi watakapohitimu sekondari.
Baraza la Shule la Jiji Kuu pia limetoa video rafiki kwa mazazi ya muda wa dakika
tatu inayoelezea Common Core, inayopatikana
katika:http://www.commoncoreworks.org
Tivuli ya kusimama kwa watoto
http://stand.org/national/blog/2012/09/10/common-core-standards-buildingstrong-foundation-our-childrens-success
Tovuti ya kusimama kwa Watoto ni pamoja na maelezo mafupi ya rafiki kwa mzazi kuhusu
kwa nini Majimbo wamepitisha CCSS, nini mabadiliko ni na kitakachobadilika kwa
wanafunzi.
Common Core Resources for Parents: Where to Learn More and Get More - Swahili Version
EngageNY.org
1
RASILIMALI ZA NEW YORK
Kushiriki Rasilimali za Wazazi na Famila za New York
http://engageny.org/parent-and-family-resources
Ukurasa huu unaunganisha rasilimali zinazoelezwa hapa na nyenginezo, ikiwa ni pamoja na
miongozo na shughuli za kuwasaidia wazazi kufahamu vyema jinsi gani New York itatekeleza
Common Core Learning Standards na vipi vitaonekana katika madarasani.
Kushiriki Tathmini New York Commom Core
http://engageny.org/common-core-assessmentsandhttp://engageny.org/resource/test-guides-forenglish-language-arts-and-mathematics
Rasilimali na habari kwa wazazi wenye nia ya kujifunza zaidi kuhusu tathmini za Common
Core ikiwa ni pamoja na miongozo ya mitihani na sampuli ya maswali.
Makataba ya Common Core ya Familia ya Idara ya Elimu ya Mji wa New York
http://schools.nyc.gov/Academics/CommonCoreLibrary/ForFamilies/default.htm
Tovuti hii ni pamoja na rasilimali kama vile Maelezo ya Jumla ya Common Core na mwandiko
utaongozana na video fupi kwa lugha nyngi: Kiarabu, Kibengali,Kichina, Kifaransa, Kihaiti, Kikorea,
Kirussia, Kihispania na Kiurdu.
Common Core Resources for Parents: Where to Learn More and Get More - Swahili Version
EngageNY.org
2